Native Bible

Proverbs 6:25 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Moyo wako usitamani uzuri wake wala macho yake yasikuteke,

Proverbs 6:25 in English

Proverbs 6:25 · Berean Standard Bible

Do not lust in your heart for her beauty or let her captivate you with her eyes.*

Context

23Kwa maana amri hizi ni taa, mafundisho haya ni mwanga na maonyo ya maadili ni njia ya uzima, 24yakikulinda na mwanamke aliyepotoka, kutokana na maneno laini ya mwanamke aliyepotoka. 25Moyo wako usitamani uzuri wake wala macho yake yasikuteke, 26kwa maana kahaba atakufanya uwe maskini, hata ukose kipande cha mkate, naye mwanamke mzinzi huwinda maisha yako hasa. 27Je, mtu aweza kuchotea moto kwenye paja lake bila nguo zake kuungua?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.