Native Bible

Proverbs 6:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa maana amri hizi ni taa, mafundisho haya ni mwanga na maonyo ya maadili ni njia ya uzima,

Proverbs 6:23 in English

Proverbs 6:23 · Berean Standard Bible

For this commandment is a lamp, this teaching is a light, and the reproofs of discipline are the way to life,

Context

21Yafunge katika moyo wako daima, yakaze kuizunguka shingo yako. 22Wakati utembeapo, yatakuongoza; wakati ulalapo, yatakulinda; wakati uamkapo, yatazungumza nawe. 23Kwa maana amri hizi ni taa, mafundisho haya ni mwanga na maonyo ya maadili ni njia ya uzima, 24yakikulinda na mwanamke aliyepotoka, kutokana na maneno laini ya mwanamke aliyepotoka. 25Moyo wako usitamani uzuri wake wala macho yake yasikuteke,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.