Mithali 6:21
Proverbs 6:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Yafunge katika moyo wako daima, yakaze kuizunguka shingo yako.
Proverbs 6:21 in English
Proverbs 6:21 · Berean Standard Bible
Bind them always upon your heart; tie them around your neck.
Context
19shahidi wa uongo ambaye humwaga uongo,
na mtu ambaye huchochea fitina kati ya ndugu. 20Mwanangu, zishike amri za baba yako,
wala usiyaache mafundisho ya mama yako. 21Yafunge katika moyo wako daima,
yakaze kuizunguka shingo yako. 22Wakati utembeapo, yatakuongoza;
wakati ulalapo, yatakulinda;
wakati uamkapo, yatazungumza nawe. 23Kwa maana amri hizi ni taa,
mafundisho haya ni mwanga
na maonyo ya maadili ni njia ya uzima,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.