Mithali 6:24
Proverbs 6:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
yakikulinda na mwanamke aliyepotoka, kutokana na maneno laini ya mwanamke aliyepotoka.
Proverbs 6:24 in English
Proverbs 6:24 · Berean Standard Bible
to keep you from the evil woman, from the smooth tongue of the adulteress.*
Context
22Wakati utembeapo, yatakuongoza;
wakati ulalapo, yatakulinda;
wakati uamkapo, yatazungumza nawe. 23Kwa maana amri hizi ni taa,
mafundisho haya ni mwanga
na maonyo ya maadili ni njia ya uzima, 24yakikulinda na mwanamke aliyepotoka,
kutokana na maneno laini ya mwanamke aliyepotoka. 25Moyo wako usitamani uzuri wake
wala macho yake yasikuteke, 26kwa maana kahaba atakufanya uwe maskini,
hata ukose kipande cha mkate,
naye mwanamke mzinzi huwinda maisha yako hasa.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.