Native Bible

Proverbs 4:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini njia ya waovu ni kama giza nene; hawajui kinachowafanya wajikwae.

Proverbs 4:19 in English

Proverbs 4:19 · Berean Standard Bible

But the way of the wicked is like the darkest gloom; they do not know what makes them stumble.

Context

17Wanakula mkate wa uovu, na kunywa mvinyo wa jeuri. 18Njia ya wenye haki ni kama nuru ya kwanza ya mapambazuko, ambayo hungʼaa zaidi na zaidi mpaka mchana mkamilifu. 19Lakini njia ya waovu ni kama giza nene; hawajui kinachowafanya wajikwae. 20Mwanangu, yasikilize kwa makini yale ninayokuambia; sikiliza kwa makini maneno yangu. 21Usiruhusu yaondoke machoni pako, yahifadhi ndani ya moyo wako;

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.