Mithali 4:21
Proverbs 4:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Usiruhusu yaondoke machoni pako, yahifadhi ndani ya moyo wako;
Proverbs 4:21 in English
Proverbs 4:21 · Berean Standard Bible
Do not lose sight of them; keep them within your heart.
Context
19Lakini njia ya waovu ni kama giza nene;
hawajui kinachowafanya wajikwae. 20Mwanangu, yasikilize kwa makini yale ninayokuambia;
sikiliza kwa makini maneno yangu. 21Usiruhusu yaondoke machoni pako,
yahifadhi ndani ya moyo wako; 22kwa sababu ni uzima kwa wale wanaoyapata
na afya kwa mwili wote wa mwanadamu. 23Zaidi ya yote, linda moyo wako, kuliko yote uyalindayo,
maana ndiko zitokako chemchemi za uzima.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.