Native Bible

Proverbs 4:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mwanangu, yasikilize kwa makini yale ninayokuambia; sikiliza kwa makini maneno yangu.

Proverbs 4:20 in English

Proverbs 4:20 · Berean Standard Bible

My son, pay attention to my words; incline your ear to my sayings.

Context

18Njia ya wenye haki ni kama nuru ya kwanza ya mapambazuko, ambayo hungʼaa zaidi na zaidi mpaka mchana mkamilifu. 19Lakini njia ya waovu ni kama giza nene; hawajui kinachowafanya wajikwae. 20Mwanangu, yasikilize kwa makini yale ninayokuambia; sikiliza kwa makini maneno yangu. 21Usiruhusu yaondoke machoni pako, yahifadhi ndani ya moyo wako; 22kwa sababu ni uzima kwa wale wanaoyapata na afya kwa mwili wote wa mwanadamu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.