Native Bible

Proverbs 4:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Njia ya wenye haki ni kama nuru ya kwanza ya mapambazuko, ambayo hungʼaa zaidi na zaidi mpaka mchana mkamilifu.

Proverbs 4:18 in English

Proverbs 4:18 · Berean Standard Bible

The path of the righteous is like the first gleam of dawn, shining brighter and brighter until midday.

Context

16Kwa kuwa hawawezi kulala mpaka watende uovu; wanashindwa hata kusinzia mpaka wamwangushe mtu. 17Wanakula mkate wa uovu, na kunywa mvinyo wa jeuri. 18Njia ya wenye haki ni kama nuru ya kwanza ya mapambazuko, ambayo hungʼaa zaidi na zaidi mpaka mchana mkamilifu. 19Lakini njia ya waovu ni kama giza nene; hawajui kinachowafanya wajikwae. 20Mwanangu, yasikilize kwa makini yale ninayokuambia; sikiliza kwa makini maneno yangu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.