Mithali 4:17
Proverbs 4:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wanakula mkate wa uovu, na kunywa mvinyo wa jeuri.
Proverbs 4:17 in English
Proverbs 4:17 · Berean Standard Bible
For they eat the bread of wickedness and drink the wine of violence.
Context
15Epukana nayo, usisafiri katika njia hiyo;
achana nayo, na uelekee njia yako. 16Kwa kuwa hawawezi kulala mpaka watende uovu;
wanashindwa hata kusinzia mpaka wamwangushe mtu. 17Wanakula mkate wa uovu,
na kunywa mvinyo wa jeuri. 18Njia ya wenye haki ni kama nuru ya kwanza ya mapambazuko,
ambayo hungʼaa zaidi na zaidi mpaka mchana mkamilifu. 19Lakini njia ya waovu ni kama giza nene;
hawajui kinachowafanya wajikwae.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.