Mithali 4:15
Proverbs 4:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Epukana nayo, usisafiri katika njia hiyo; achana nayo, na uelekee njia yako.
Proverbs 4:15 in English
Proverbs 4:15 · Berean Standard Bible
Avoid it; do not travel on it. Turn from it and pass on by.
Context
13Mkamate sana elimu, usimwache aende zake;
mshike, maana yeye ni uzima wako. 14Usiuweke mguu wako katika njia ya waovu
wala usitembee katika njia ya watu wabaya. 15Epukana nayo, usisafiri katika njia hiyo;
achana nayo, na uelekee njia yako. 16Kwa kuwa hawawezi kulala mpaka watende uovu;
wanashindwa hata kusinzia mpaka wamwangushe mtu. 17Wanakula mkate wa uovu,
na kunywa mvinyo wa jeuri.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.