Native Bible

Proverbs 4:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Utembeapo, hatua zako hazitazuiliwa; ukimbiapo, hutajikwaa.

Proverbs 4:12 in English

Proverbs 4:12 · Berean Standard Bible

When you walk, your steps will not be impeded; when you run, you will not stumble.

Context

10Sikiliza mwanangu, kubali ninachokuambia, nayo miaka ya maisha yako itakuwa mingi. 11Ninakuongoza katika njia ya hekima na kukuongoza katika mapito yaliyonyooka. 12Utembeapo, hatua zako hazitazuiliwa; ukimbiapo, hutajikwaa. 13Mkamate sana elimu, usimwache aende zake; mshike, maana yeye ni uzima wako. 14Usiuweke mguu wako katika njia ya waovu wala usitembee katika njia ya watu wabaya.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.