Mithali 4:11
Proverbs 4:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ninakuongoza katika njia ya hekima na kukuongoza katika mapito yaliyonyooka.
Proverbs 4:11 in English
Proverbs 4:11 · Berean Standard Bible
I will guide you in the way of wisdom; I will lead you on straight paths.
Context
9Atakuvika shada la neema kichwani mwako
na kukupa taji ya utukufu.” 10Sikiliza mwanangu, kubali ninachokuambia,
nayo miaka ya maisha yako itakuwa mingi. 11Ninakuongoza katika njia ya hekima
na kukuongoza katika mapito yaliyonyooka. 12Utembeapo, hatua zako hazitazuiliwa;
ukimbiapo, hutajikwaa. 13Mkamate sana elimu, usimwache aende zake;
mshike, maana yeye ni uzima wako.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.