Native Bible

Proverbs 4:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Sikiliza mwanangu, kubali ninachokuambia, nayo miaka ya maisha yako itakuwa mingi.

Proverbs 4:10 in English

Proverbs 4:10 · Berean Standard Bible

Listen, my son, and receive my words, and the years of your life will be many.

Context

8Mstahi, naye atakukweza; mkumbatie, naye atakuheshimu. 9Atakuvika shada la neema kichwani mwako na kukupa taji ya utukufu.” 10Sikiliza mwanangu, kubali ninachokuambia, nayo miaka ya maisha yako itakuwa mingi. 11Ninakuongoza katika njia ya hekima na kukuongoza katika mapito yaliyonyooka. 12Utembeapo, hatua zako hazitazuiliwa; ukimbiapo, hutajikwaa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.