Native Bible

Proverbs 4:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Atakuvika shada la neema kichwani mwako na kukupa taji ya utukufu.”

Proverbs 4:9 in English

Proverbs 4:9 · Berean Standard Bible

She will set a garland of grace on your head; she will present you with a crown of beauty.”

Context

7Hekima ni bora kuliko vitu vyote; kwa hiyo jipe hekima. Hata ikikugharimu vyote ulivyo navyo, pata ufahamu. 8Mstahi, naye atakukweza; mkumbatie, naye atakuheshimu. 9Atakuvika shada la neema kichwani mwako na kukupa taji ya utukufu.” 10Sikiliza mwanangu, kubali ninachokuambia, nayo miaka ya maisha yako itakuwa mingi. 11Ninakuongoza katika njia ya hekima na kukuongoza katika mapito yaliyonyooka.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.