Native Bible

Proverbs 3:29 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Usifanye hila ya kumdhuru jirani yako, ambaye anaishi karibu na wewe akikuamini.

Proverbs 3:29 in English

Proverbs 3:29 · Berean Standard Bible

Do not devise evil against your neighbor, for he trustfully dwells beside you.

Context

27Usizuie wema kwa wale wanaostahili ikiwa katika uwezo wako kutenda. 28Usimwambie jirani yako, “Njoo baadaye, nitakupa kesho”: wakati wewe unacho kitu kile karibu nawe. 29Usifanye hila ya kumdhuru jirani yako, ambaye anaishi karibu na wewe akikuamini. 30Usimshtaki mtu bila sababu, wakati hajakutenda dhara lolote. 31Usimwonee wivu mtu mwenye jeuri wala kuchagua njia yake iwayo yote,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.