Mithali 3:30
Proverbs 3:30 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Usimshtaki mtu bila sababu, wakati hajakutenda dhara lolote.
Proverbs 3:30 in English
Proverbs 3:30 · Berean Standard Bible
Do not accuse a man without cause, when he has done you no harm.
Context
28Usimwambie jirani yako,
“Njoo baadaye, nitakupa kesho”:
wakati wewe unacho kitu kile karibu nawe. 29Usifanye hila ya kumdhuru jirani yako,
ambaye anaishi karibu na wewe akikuamini. 30Usimshtaki mtu bila sababu,
wakati hajakutenda dhara lolote. 31Usimwonee wivu mtu mwenye jeuri
wala kuchagua njia yake iwayo yote, 32kwa kuwa Bwana humchukia mtu mpotovu,
lakini siri yake iko kwa mwenye haki.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.