Mithali 3:32
Proverbs 3:32 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
kwa kuwa Bwana humchukia mtu mpotovu, lakini siri yake iko kwa mwenye haki.
Proverbs 3:32 in English
Proverbs 3:32 · Berean Standard Bible
for the LORD detests the perverse, but He is a friend to the upright.
Context
30Usimshtaki mtu bila sababu,
wakati hajakutenda dhara lolote. 31Usimwonee wivu mtu mwenye jeuri
wala kuchagua njia yake iwayo yote, 32kwa kuwa Bwana humchukia mtu mpotovu,
lakini siri yake iko kwa mwenye haki. 33Laana ya Bwana i juu ya nyumba ya mwovu,
lakini yeye huibariki nyumba ya mwenye haki. 34Huwadhihaki wale wanaodhihaki,
lakini huwapa neema wale wanyenyekevu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.