Native Bible

Proverbs 3:34 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Huwadhihaki wale wanaodhihaki, lakini huwapa neema wale wanyenyekevu.

Proverbs 3:34 in English

Proverbs 3:34 · Berean Standard Bible

He mocks the mockers, but gives grace to the humble.*

Context

32kwa kuwa Bwana humchukia mtu mpotovu, lakini siri yake iko kwa mwenye haki. 33Laana ya Bwana i juu ya nyumba ya mwovu, lakini yeye huibariki nyumba ya mwenye haki. 34Huwadhihaki wale wanaodhihaki, lakini huwapa neema wale wanyenyekevu. 35Wenye hekima hurithi heshima, bali huwaaibisha wapumbavu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.