Native Bible

Proverbs 3:31 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Usimwonee wivu mtu mwenye jeuri wala kuchagua njia yake iwayo yote,

Proverbs 3:31 in English

Proverbs 3:31 · Berean Standard Bible

Do not envy a violent man or choose any of his ways;

Context

29Usifanye hila ya kumdhuru jirani yako, ambaye anaishi karibu na wewe akikuamini. 30Usimshtaki mtu bila sababu, wakati hajakutenda dhara lolote. 31Usimwonee wivu mtu mwenye jeuri wala kuchagua njia yake iwayo yote, 32kwa kuwa Bwana humchukia mtu mpotovu, lakini siri yake iko kwa mwenye haki. 33Laana ya Bwana i juu ya nyumba ya mwovu, lakini yeye huibariki nyumba ya mwenye haki.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.