Native Bible

Proverbs 3:28 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Usimwambie jirani yako, “Njoo baadaye, nitakupa kesho”: wakati wewe unacho kitu kile karibu nawe.

Proverbs 3:28 in English

Proverbs 3:28 · Berean Standard Bible

Do not tell your neighbor, “Come back tomorrow and I will provide”— when you already have the means.

Context

26kwa kuwa Bwana atakuwa tumaini lako na kuepusha mguu wako kunaswa katika mtego. 27Usizuie wema kwa wale wanaostahili ikiwa katika uwezo wako kutenda. 28Usimwambie jirani yako, “Njoo baadaye, nitakupa kesho”: wakati wewe unacho kitu kile karibu nawe. 29Usifanye hila ya kumdhuru jirani yako, ambaye anaishi karibu na wewe akikuamini. 30Usimshtaki mtu bila sababu, wakati hajakutenda dhara lolote.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.