Native Bible

Proverbs 3:27 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Usizuie wema kwa wale wanaostahili ikiwa katika uwezo wako kutenda.

Proverbs 3:27 in English

Proverbs 3:27 · Berean Standard Bible

Do not withhold good from the deserving * when it is within your power to act.

Context

25Usiogope maafa ya ghafula au maangamizi yanayowapata waovu, 26kwa kuwa Bwana atakuwa tumaini lako na kuepusha mguu wako kunaswa katika mtego. 27Usizuie wema kwa wale wanaostahili ikiwa katika uwezo wako kutenda. 28Usimwambie jirani yako, “Njoo baadaye, nitakupa kesho”: wakati wewe unacho kitu kile karibu nawe. 29Usifanye hila ya kumdhuru jirani yako, ambaye anaishi karibu na wewe akikuamini.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.