Mithali 3:25
Proverbs 3:25 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Usiogope maafa ya ghafula au maangamizi yanayowapata waovu,
Proverbs 3:25 in English
Proverbs 3:25 · Berean Standard Bible
Do not fear sudden danger or the ruin that overtakes the wicked,
Context
23Kisha utaenda katika njia yako salama,
wala mguu wako hautajikwaa; 24ulalapo, hautaogopa;
ulalapo usingizi wako utakuwa mtamu. 25Usiogope maafa ya ghafula
au maangamizi yanayowapata waovu, 26kwa kuwa Bwana atakuwa tumaini lako
na kuepusha mguu wako kunaswa katika mtego. 27Usizuie wema kwa wale wanaostahili
ikiwa katika uwezo wako kutenda.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.