Mithali 3:23
Proverbs 3:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kisha utaenda katika njia yako salama, wala mguu wako hautajikwaa;
Proverbs 3:23 in English
Proverbs 3:23 · Berean Standard Bible
Then you will go on your way in safety, and your foot will not stumble.
Context
21Mwanangu, hifadhi maamuzi mema na busara,
usiache vitoke machoni pako; 22ndipo vitakapokuwa uzima nafsini mwako
na pambo la neema shingoni mwako. 23Kisha utaenda katika njia yako salama,
wala mguu wako hautajikwaa; 24ulalapo, hautaogopa;
ulalapo usingizi wako utakuwa mtamu. 25Usiogope maafa ya ghafula
au maangamizi yanayowapata waovu,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.