Native Bible

Proverbs 3:26 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

kwa kuwa Bwana atakuwa tumaini lako na kuepusha mguu wako kunaswa katika mtego.

Proverbs 3:26 in English

Proverbs 3:26 · Berean Standard Bible

for the LORD will be your confidence and will keep your foot from the snare.

Context

24ulalapo, hautaogopa; ulalapo usingizi wako utakuwa mtamu. 25Usiogope maafa ya ghafula au maangamizi yanayowapata waovu, 26kwa kuwa Bwana atakuwa tumaini lako na kuepusha mguu wako kunaswa katika mtego. 27Usizuie wema kwa wale wanaostahili ikiwa katika uwezo wako kutenda. 28Usimwambie jirani yako, “Njoo baadaye, nitakupa kesho”: wakati wewe unacho kitu kile karibu nawe.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.