Native Bible

Proverbs 3:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hekima ana thamani kuliko marijani; hakuna chochote unachokitamani kinachoweza kulinganishwa naye.

Proverbs 3:15 in English

Proverbs 3:15 · Berean Standard Bible

She is more precious than rubies; nothing you desire compares with her.

Context

13Heri mtu yule aonaye hekima, mtu yule apataye ufahamu, 14kwa maana hekima ana faida kuliko fedha na mapato yake ni bora kuliko ya dhahabu safi. 15Hekima ana thamani kuliko marijani; hakuna chochote unachokitamani kinachoweza kulinganishwa naye. 16Maisha marefu yako katika mkono wake wa kuume; katika mkono wake wa kushoto kuna utajiri na heshima. 17Njia zake zinapendeza, mapito yake yote ni amani.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.