Native Bible

Proverbs 3:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Njia zake zinapendeza, mapito yake yote ni amani.

Proverbs 3:17 in English

Proverbs 3:17 · Berean Standard Bible

All her ways are pleasant, and all her paths are peaceful.

Context

15Hekima ana thamani kuliko marijani; hakuna chochote unachokitamani kinachoweza kulinganishwa naye. 16Maisha marefu yako katika mkono wake wa kuume; katika mkono wake wa kushoto kuna utajiri na heshima. 17Njia zake zinapendeza, mapito yake yote ni amani. 18Yeye ni mti wa uzima kwa wale wanaomkumbatia; wale wamshikao watabarikiwa. 19Kwa hekima Bwana aliiweka misingi ya dunia, kwa ufahamu aliziweka mbingu mahali pake;

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.