Mithali 3:19
Proverbs 3:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa hekima Bwana aliiweka misingi ya dunia, kwa ufahamu aliziweka mbingu mahali pake;
Proverbs 3:19 in English
Proverbs 3:19 · Berean Standard Bible
The LORD founded the earth by wisdom and established the heavens by understanding.
Context
17Njia zake zinapendeza,
mapito yake yote ni amani. 18Yeye ni mti wa uzima kwa wale wanaomkumbatia;
wale wamshikao watabarikiwa. 19Kwa hekima Bwana aliiweka misingi ya dunia,
kwa ufahamu aliziweka mbingu mahali pake; 20kwa maarifa yake vilindi viligawanywa,
nayo mawingu yanadondosha umande. 21Mwanangu, hifadhi maamuzi mema na busara,
usiache vitoke machoni pako;
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.