Native Bible

Proverbs 3:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Maisha marefu yako katika mkono wake wa kuume; katika mkono wake wa kushoto kuna utajiri na heshima.

Proverbs 3:16 in English

Proverbs 3:16 · Berean Standard Bible

Long life is in her right hand; in her left hand are riches and honor.

Context

14kwa maana hekima ana faida kuliko fedha na mapato yake ni bora kuliko ya dhahabu safi. 15Hekima ana thamani kuliko marijani; hakuna chochote unachokitamani kinachoweza kulinganishwa naye. 16Maisha marefu yako katika mkono wake wa kuume; katika mkono wake wa kushoto kuna utajiri na heshima. 17Njia zake zinapendeza, mapito yake yote ni amani. 18Yeye ni mti wa uzima kwa wale wanaomkumbatia; wale wamshikao watabarikiwa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.