Mithali 3:14
Proverbs 3:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
kwa maana hekima ana faida kuliko fedha na mapato yake ni bora kuliko ya dhahabu safi.
Proverbs 3:14 in English
Proverbs 3:14 · Berean Standard Bible
for she is more profitable than silver, and her gain is better than fine gold.
Context
12kwa sababu Bwana huwaadibisha wale awapendao,
kama vile baba afanyavyo
kwa mwana apendezwaye naye. 13Heri mtu yule aonaye hekima,
mtu yule apataye ufahamu, 14kwa maana hekima ana faida kuliko fedha
na mapato yake ni bora kuliko ya dhahabu safi. 15Hekima ana thamani kuliko marijani;
hakuna chochote unachokitamani
kinachoweza kulinganishwa naye. 16Maisha marefu yako katika mkono wake wa kuume;
katika mkono wake wa kushoto
kuna utajiri na heshima.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.