Native Bible

Proverbs 3:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

kwa sababu Bwana huwaadibisha wale awapendao, kama vile baba afanyavyo kwa mwana apendezwaye naye.

Proverbs 3:12 in English

Proverbs 3:12 · Berean Standard Bible

for the LORD disciplines the one He loves, as does a father the son in whom he delights.*

Context

10ndipo ghala zako zitakapojaa hadi kufurika, viriba vyako vitafurika kwa mvinyo mpya. 11Mwanangu, usiidharau adhabu ya Bwana na usichukie kukaripiwa naye, 12kwa sababu Bwana huwaadibisha wale awapendao, kama vile baba afanyavyo kwa mwana apendezwaye naye. 13Heri mtu yule aonaye hekima, mtu yule apataye ufahamu, 14kwa maana hekima ana faida kuliko fedha na mapato yake ni bora kuliko ya dhahabu safi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.