Mithali 3:11
Proverbs 3:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mwanangu, usiidharau adhabu ya Bwana na usichukie kukaripiwa naye,
Proverbs 3:11 in English
Proverbs 3:11 · Berean Standard Bible
My son, do not reject the discipline of the LORD, and do not loathe His rebuke;*
Context
9Mheshimu Bwana kwa mali zako na
kwa malimbuko ya mazao yako yote; 10ndipo ghala zako zitakapojaa hadi kufurika,
viriba vyako vitafurika kwa mvinyo mpya. 11Mwanangu, usiidharau adhabu ya Bwana
na usichukie kukaripiwa naye, 12kwa sababu Bwana huwaadibisha wale awapendao,
kama vile baba afanyavyo
kwa mwana apendezwaye naye. 13Heri mtu yule aonaye hekima,
mtu yule apataye ufahamu,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.