Mithali 3:9
Proverbs 3:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mheshimu Bwana kwa mali zako na kwa malimbuko ya mazao yako yote;
Proverbs 3:9 in English
Proverbs 3:9 · Berean Standard Bible
Honor the LORD with your wealth and with the firstfruits of all your harvest;
Context
7Usiwe mwenye hekima machoni pako mwenyewe;
mche Bwana ukajiepushe na uovu. 8Hii itakuletea afya mwilini mwako,
na mafuta kwenye mifupa yako. 9Mheshimu Bwana kwa mali zako na
kwa malimbuko ya mazao yako yote; 10ndipo ghala zako zitakapojaa hadi kufurika,
viriba vyako vitafurika kwa mvinyo mpya. 11Mwanangu, usiidharau adhabu ya Bwana
na usichukie kukaripiwa naye,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.