Native Bible

Proverbs 3:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hii itakuletea afya mwilini mwako, na mafuta kwenye mifupa yako.

Proverbs 3:8 in English

Proverbs 3:8 · Berean Standard Bible

This will bring healing to your body * and refreshment * to your bones.

Context

6katika njia zako zote mkiri yeye, naye atayanyoosha mapito yako. 7Usiwe mwenye hekima machoni pako mwenyewe; mche Bwana ukajiepushe na uovu. 8Hii itakuletea afya mwilini mwako, na mafuta kwenye mifupa yako. 9Mheshimu Bwana kwa mali zako na kwa malimbuko ya mazao yako yote; 10ndipo ghala zako zitakapojaa hadi kufurika, viriba vyako vitafurika kwa mvinyo mpya.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.