Mithali 3:6
Proverbs 3:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
katika njia zako zote mkiri yeye, naye atayanyoosha mapito yako.
Proverbs 3:6 in English
Proverbs 3:6 · Berean Standard Bible
in all your ways acknowledge Him, and He will make your paths straight.
Context
4Ndipo utapata kibali na jina zuri
mbele za Mungu na mwanadamu. 5Mtumaini Bwana kwa moyo wako wote
wala usizitegemee akili zako mwenyewe; 6katika njia zako zote mkiri yeye,
naye atayanyoosha mapito yako. 7Usiwe mwenye hekima machoni pako mwenyewe;
mche Bwana ukajiepushe na uovu. 8Hii itakuletea afya mwilini mwako,
na mafuta kwenye mifupa yako.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.