Native Bible

Proverbs 3:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ndipo utapata kibali na jina zuri mbele za Mungu na mwanadamu.

Proverbs 3:4 in English

Proverbs 3:4 · Berean Standard Bible

Then you will find favor and high regard in the sight of God and man.

Context

2kwa kuwa zitakuongezea miaka mingi ya maisha yako na kukuletea mafanikio. 3Usiache kamwe upendo na uaminifu vitengane nawe; vifunge shingoni mwako, viandike katika ubao wa moyo wako. 4Ndipo utapata kibali na jina zuri mbele za Mungu na mwanadamu. 5Mtumaini Bwana kwa moyo wako wote wala usizitegemee akili zako mwenyewe; 6katika njia zako zote mkiri yeye, naye atayanyoosha mapito yako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.