Native Bible

Proverbs 3:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mtumaini Bwana kwa moyo wako wote wala usizitegemee akili zako mwenyewe;

Proverbs 3:5 in English

Proverbs 3:5 · Berean Standard Bible

Trust in the LORD with all your heart, and lean not on your own understanding;

Context

3Usiache kamwe upendo na uaminifu vitengane nawe; vifunge shingoni mwako, viandike katika ubao wa moyo wako. 4Ndipo utapata kibali na jina zuri mbele za Mungu na mwanadamu. 5Mtumaini Bwana kwa moyo wako wote wala usizitegemee akili zako mwenyewe; 6katika njia zako zote mkiri yeye, naye atayanyoosha mapito yako. 7Usiwe mwenye hekima machoni pako mwenyewe; mche Bwana ukajiepushe na uovu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.