Mithali 3:2
Proverbs 3:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
kwa kuwa zitakuongezea miaka mingi ya maisha yako na kukuletea mafanikio.
Proverbs 3:2 in English
Proverbs 3:2 · Berean Standard Bible
for they will add length to your days, years and peace to your life.
Context
1Mwanangu, usisahau mafundisho yangu,
bali zitunze amri zangu moyoni mwako, 2kwa kuwa zitakuongezea miaka mingi ya maisha yako
na kukuletea mafanikio. 3Usiache kamwe upendo na uaminifu vitengane nawe;
vifunge shingoni mwako,
viandike katika ubao wa moyo wako. 4Ndipo utapata kibali na jina zuri
mbele za Mungu na mwanadamu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.