Native Bible

Proverbs 3:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Heri mtu yule aonaye hekima, mtu yule apataye ufahamu,

Proverbs 3:13 in English

Proverbs 3:13 · Berean Standard Bible

Blessed is the man who finds wisdom, the man who acquires understanding,

Context

11Mwanangu, usiidharau adhabu ya Bwana na usichukie kukaripiwa naye, 12kwa sababu Bwana huwaadibisha wale awapendao, kama vile baba afanyavyo kwa mwana apendezwaye naye. 13Heri mtu yule aonaye hekima, mtu yule apataye ufahamu, 14kwa maana hekima ana faida kuliko fedha na mapato yake ni bora kuliko ya dhahabu safi. 15Hekima ana thamani kuliko marijani; hakuna chochote unachokitamani kinachoweza kulinganishwa naye.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.