Native Bible

Proverbs 28:25 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mtu mwenye tamaa huchochea fitina, bali yule amtegemeaye Bwana atafanikiwa.

Proverbs 28:25 in English

Proverbs 28:25 · Berean Standard Bible

A greedy man stirs up strife, but he who trusts in the LORD will prosper.

Context

23Yeye amkemeaye mtu mwishoni hupata kibali zaidi, kuliko mwenye maneno ya kusifu isivyostahili. 24Yeye amwibiaye babaye au mamaye na kusema, “Si kosa,” yeye ni mwenzi wa yule aharibuye. 25Mtu mwenye tamaa huchochea fitina, bali yule amtegemeaye Bwana atafanikiwa. 26Yeye ajitumainiaye mwenyewe ni mpumbavu, bali yeye atembeaye katika hekima hulindwa salama. 27Yeye ampaye maskini hatapungukiwa na kitu chochote, bali yeye awafumbiaye maskini macho hupata laana nyingi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.