Mithali 28:27
Proverbs 28:27 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Yeye ampaye maskini hatapungukiwa na kitu chochote, bali yeye awafumbiaye maskini macho hupata laana nyingi.
Proverbs 28:27 in English
Proverbs 28:27 · Berean Standard Bible
Whoever gives to the poor will not be in need, but he who hides his eyes will receive many curses.
Context
25Mtu mwenye tamaa huchochea fitina,
bali yule amtegemeaye Bwana atafanikiwa. 26Yeye ajitumainiaye mwenyewe ni mpumbavu,
bali yeye atembeaye katika hekima hulindwa salama. 27Yeye ampaye maskini
hatapungukiwa na kitu chochote,
bali yeye awafumbiaye maskini macho
hupata laana nyingi. 28Wakati waovu watawalapo,
watu huenda mafichoni,
bali waovu wanapoangamia,
wenye haki hufanikiwa.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.