Native Bible

Proverbs 28:26 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yeye ajitumainiaye mwenyewe ni mpumbavu, bali yeye atembeaye katika hekima hulindwa salama.

Proverbs 28:26 in English

Proverbs 28:26 · Berean Standard Bible

He who trusts in himself is a fool, but one who walks in wisdom will be safe.

Context

24Yeye amwibiaye babaye au mamaye na kusema, “Si kosa,” yeye ni mwenzi wa yule aharibuye. 25Mtu mwenye tamaa huchochea fitina, bali yule amtegemeaye Bwana atafanikiwa. 26Yeye ajitumainiaye mwenyewe ni mpumbavu, bali yeye atembeaye katika hekima hulindwa salama. 27Yeye ampaye maskini hatapungukiwa na kitu chochote, bali yeye awafumbiaye maskini macho hupata laana nyingi. 28Wakati waovu watawalapo, watu huenda mafichoni, bali waovu wanapoangamia, wenye haki hufanikiwa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.