Native Bible

Proverbs 28:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yeye amkemeaye mtu mwishoni hupata kibali zaidi, kuliko mwenye maneno ya kusifu isivyostahili.

Proverbs 28:23 in English

Proverbs 28:23 · Berean Standard Bible

He who rebukes a man will later find more favor than one who flatters with his tongue.

Context

21Kuonyesha upendeleo si vizuri, hata hivyo mtu atafanya kosa kwa kipande cha mkate. 22Mtu mchoyo ana tamaa ya kupata utajiri, naye hana habari kuwa umaskini unamngojea. 23Yeye amkemeaye mtu mwishoni hupata kibali zaidi, kuliko mwenye maneno ya kusifu isivyostahili. 24Yeye amwibiaye babaye au mamaye na kusema, “Si kosa,” yeye ni mwenzi wa yule aharibuye. 25Mtu mwenye tamaa huchochea fitina, bali yule amtegemeaye Bwana atafanikiwa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.