Native Bible

Proverbs 28:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yeye ambaye humwongoza mwenye haki kwenye mapito mabaya, ataanguka kwenye mtego wake mwenyewe, bali wasio na lawama watapokea urithi mwema.

Proverbs 28:10 in English

Proverbs 28:10 · Berean Standard Bible

He who leads the upright along the path of evil will fall into his own pit, but the blameless will inherit what is good.

Context

8Yeye aongezaye utajiri wake kwa riba kubwa mno hukusanya kwa ajili ya mwingine, ambaye atawahurumia maskini. 9Kama mtu yeyote akikataa kusikia sheria, hata maombi yake ni chukizo. 10Yeye ambaye humwongoza mwenye haki kwenye mapito mabaya, ataanguka kwenye mtego wake mwenyewe, bali wasio na lawama watapokea urithi mwema. 11Mtu tajiri anaweza kuwa na hekima machoni pake mwenyewe, bali mtu maskini mwenye ufahamu atamfichua. 12Mwenye haki ashindapo, kuna furaha kubwa, bali waovu watawalapo, watu hujificha.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.