Native Bible

Proverbs 27:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Afadhali karipio la wazi kuliko upendo uliofichika.

Proverbs 27:5 in English

Proverbs 27:5 · Berean Standard Bible

Better an open rebuke than love that is concealed.

Context

3Jiwe ni zito na mchanga ni mzigo, lakini kukasirishwa na mpumbavu ni kuzito kuliko vyote viwili. 4Hasira ni ukatili na ghadhabu kali ni gharika, lakini ni nani awezaye kusimama mbele ya wivu? 5Afadhali karipio la wazi kuliko upendo uliofichika. 6Majeraha kutoka kwa rafiki yaonyesha uaminifu, bali kubusu kwa adui ni kwingi sana. 7Yeye aliyeshiba huchukia kabisa asali, bali kwa mwenye njaa hata kile kilicho kichungu kwake ni kitamu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.