Mithali 27:7
Proverbs 27:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Yeye aliyeshiba huchukia kabisa asali, bali kwa mwenye njaa hata kile kilicho kichungu kwake ni kitamu.
Proverbs 27:7 in English
Proverbs 27:7 · Berean Standard Bible
The soul that is full loathes honey, but to a hungry soul, any bitter thing is sweet.
Context
5Afadhali karipio la wazi
kuliko upendo uliofichika. 6Majeraha kutoka kwa rafiki yaonyesha uaminifu,
bali kubusu kwa adui ni kwingi sana. 7Yeye aliyeshiba huchukia kabisa asali,
bali kwa mwenye njaa
hata kile kilicho kichungu
kwake ni kitamu. 8Kama ndege atangatangavyo mbali na kiota chake,
ndivyo alivyo mtu atangatangaye
mbali na nyumbani mwake. 9Manukato na uvumba huleta furaha moyoni,
nao uzuri wa rafiki huchipuka
kutoka kwenye ushauri wake wa uaminifu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.