Native Bible

Proverbs 27:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Majeraha kutoka kwa rafiki yaonyesha uaminifu, bali kubusu kwa adui ni kwingi sana.

Proverbs 27:6 in English

Proverbs 27:6 · Berean Standard Bible

The wounds of a friend are faithful, but the kisses of an enemy are deceitful.

Context

4Hasira ni ukatili na ghadhabu kali ni gharika, lakini ni nani awezaye kusimama mbele ya wivu? 5Afadhali karipio la wazi kuliko upendo uliofichika. 6Majeraha kutoka kwa rafiki yaonyesha uaminifu, bali kubusu kwa adui ni kwingi sana. 7Yeye aliyeshiba huchukia kabisa asali, bali kwa mwenye njaa hata kile kilicho kichungu kwake ni kitamu. 8Kama ndege atangatangavyo mbali na kiota chake, ndivyo alivyo mtu atangatangaye mbali na nyumbani mwake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.