Native Bible

Proverbs 27:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hasira ni ukatili na ghadhabu kali ni gharika, lakini ni nani awezaye kusimama mbele ya wivu?

Proverbs 27:4 in English

Proverbs 27:4 · Berean Standard Bible

Wrath is cruel and anger is like a flood, but who can withstand jealousy?

Context

2Mwache mwingine akusifu, wala si kinywa chako mwenyewe; mtu mwingine afanye hivyo na si midomo yako mwenyewe. 3Jiwe ni zito na mchanga ni mzigo, lakini kukasirishwa na mpumbavu ni kuzito kuliko vyote viwili. 4Hasira ni ukatili na ghadhabu kali ni gharika, lakini ni nani awezaye kusimama mbele ya wivu? 5Afadhali karipio la wazi kuliko upendo uliofichika. 6Majeraha kutoka kwa rafiki yaonyesha uaminifu, bali kubusu kwa adui ni kwingi sana.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.