Native Bible

Proverbs 27:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Jiwe ni zito na mchanga ni mzigo, lakini kukasirishwa na mpumbavu ni kuzito kuliko vyote viwili.

Proverbs 27:3 in English

Proverbs 27:3 · Berean Standard Bible

A stone is heavy and sand is a burden, but aggravation from a fool outweighs them both.

Context

1Usijisifu kwa ajili ya kesho, kwa kuwa hujui ni nini kitakachozaliwa kwa siku moja. 2Mwache mwingine akusifu, wala si kinywa chako mwenyewe; mtu mwingine afanye hivyo na si midomo yako mwenyewe. 3Jiwe ni zito na mchanga ni mzigo, lakini kukasirishwa na mpumbavu ni kuzito kuliko vyote viwili. 4Hasira ni ukatili na ghadhabu kali ni gharika, lakini ni nani awezaye kusimama mbele ya wivu? 5Afadhali karipio la wazi kuliko upendo uliofichika.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.