Native Bible

Proverbs 26:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kama makaa juu ya makaa yanayowaka, na kama kuni kwenye moto, ndivyo alivyo mtu mgomvi kwa kuchochea ugomvi.

Proverbs 26:21 in English

Proverbs 26:21 · Berean Standard Bible

Like charcoal for embers and wood for fire, so is a quarrelsome man for kindling strife.

Context

19ndivyo alivyo mtu amdanganyaye jirani yake na kusema, “Nilikuwa nikifanya mzaha tu!” 20Bila kuni moto huzimika; pasipo uchongezi ugomvi humalizika. 21Kama makaa juu ya makaa yanayowaka, na kama kuni kwenye moto, ndivyo alivyo mtu mgomvi kwa kuchochea ugomvi. 22Maneno ya mchongezi ni kama chakula kitamu; huingia sehemu za ndani sana za mtu. 23Kama rangi ingʼaayo iliyopakwa kwenye vyombo vya udongo ndivyo ilivyo midomo laini pamoja na moyo mbaya.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.