Native Bible

Proverbs 26:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

ndivyo alivyo mtu amdanganyaye jirani yake na kusema, “Nilikuwa nikifanya mzaha tu!”

Proverbs 26:19 in English

Proverbs 26:19 · Berean Standard Bible

so is the man who deceives his neighbor and says, “I was only joking!”

Context

17Kama yeye amkamataye mbwa kwa masikio, ndivyo alivyo mtu apitaye njiani na kujiingiza kwenye ugomvi usiomhusu. 18Kama mtu mwendawazimu atupaye vijinga vya moto au mishale ya kufisha, 19ndivyo alivyo mtu amdanganyaye jirani yake na kusema, “Nilikuwa nikifanya mzaha tu!” 20Bila kuni moto huzimika; pasipo uchongezi ugomvi humalizika. 21Kama makaa juu ya makaa yanayowaka, na kama kuni kwenye moto, ndivyo alivyo mtu mgomvi kwa kuchochea ugomvi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.